Uwekezaji wao sasa umeanza kulipa. Kundi la Navy Kenzo limepata shavu la ubalozi wa promotion mpya ya Airtel.
12940775_1298942763465615_406636337_n
Kundi hilo linaloundwa na Nahreel na mchumba wake Aika litakuwa balozi wa promotion ya Jipimie Airtel Yatosha.
“Tunapenda kuwataarifu rasmi kama Navy Kenzo ni Ambassador wapya wa #JipimieAirtelYatosha ambayo ni bundle mpya na za kipekee wewe kama mteja unaweza kujipimia chochote utakacho iwe dakika, sms au Mb pekee au vyote tu piga *149*98# #jipimieyatosha,” wameandika kwenye Instagram.
12940190_1781830858715678_1292760196_n
Navy Kenzo wamejipatia umaarufu Afrika kwa ngoma zao, Game na Kamatia zenye video kubwa na za gharama.

0 comments:

Post a Comment

 
Top