Complex ni mzaliwa wa Newala Mkoani Mtwara ni Chipukizi Katika gem ya Hip hop Ambaye Uwezo Wake Wakurap na Uandishi Wa Maishi Utakufanya Uwe Na Shauku Ya Kumsikiliza Wakati Wote.
Mpaka Sasa Ana Kazi Nyingi Alizoziandaa, Lakini Ngoma Yake Inakwenda Kwa Jina La Hip Hop Collage Inadhihirisha Umahiri Wake Kwenye Floo Zake Na Namna Alivyoutawala Mdundo.
Kazi Hiyo Imefanyika Newala Town Katika Studio Ya BS Music Chini Ya Producer Basam Maswagger.
Producer Basam Maswagger.
0 comments:
Post a Comment